Description
𝗼𝗿𝗮𝗶𝗺𝗼 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗛𝘂𝗯 𝟮 𝟭.𝟱𝗠 𝟲-𝗶𝗻-𝟭 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗖𝘂𝗯𝗲
Ni kifaa chenye umbo dogo, nguvu kubwa (20 watts, AniFast technology), na usalama wa hali ya juu.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘 𝟲 𝗗𝗘𝗩𝗜𝗖𝗘𝗦 𝗔𝗧 𝗔 𝗧𝗜𝗠𝗘
Ina uwezo wa kuchaji mpaka vifaa 6 kwa wakati mmoja kwa nguvu ile ile, ambapo ina:
• 3 AC outlets
• 2 USB-A outputs
• 1 type-C output
𝗔𝗻𝗶𝗙𝗮𝘀𝘁 𝗧𝗲𝗰𝗵𝗻𝗼𝗹𝗼𝗴𝘆
Ni teknolojia inayosaidia kuchaji kifaa chako kwa uharaka zaidi, na kuingiza chaji kwenye kifaa chako kwa kuzingatia nguvu (power rating) inayohitajika.
𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
Ni kifaa chenye umbo dogo hivyo unaweza kukibeba mahali popote; ofisini, chumbani, na safarini.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Warranty ya mwaka mmoja kwa bidhaa original.
𝗠𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗢
𝟬𝟳𝟱𝟴 𝟯𝟵𝟱 𝟯𝟱𝟱 (watsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
𝟬𝟳𝟲𝟯 𝟭𝟳𝟯 𝟮𝟳𝟬 (watsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
𝟬𝟳𝟱𝟬 𝟬𝟵𝟯 𝟰𝟲𝟳 (watsap+calls)- SINZA MADUKANI
𝟬𝟳𝟰𝟴 𝟱𝟯𝟵 𝟯𝟮𝟴 (watsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
𝗗𝗘𝗟𝗜𝗩𝗘𝗥𝗬
Delivery service inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.