𝗼𝗿𝗮𝗶𝗺𝗼 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗛𝘂𝗯 𝗖 𝟮𝗠 𝟰-𝗔𝗖 𝟯-𝗨𝗦𝗕 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗦𝘁𝗿𝗶𝗽

-22% Off

TZS35,000

  •  PowerHub 2 2m Power Cord
  •  Spacious Design
Category:

Description

𝗼𝗿𝗮𝗶𝗺𝗼 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗛𝘂𝗯 𝗖 𝟮𝗠 𝟰-𝗔𝗖 𝟯-𝗨𝗦𝗕 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗦𝘁𝗿𝗶𝗽
Ni extension cable yenye muonekano mzuri sana, wenye kuvutia na imara sana.

𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥
Ni ultra powerful extension yenye 3250 watts
Ina output ports saba (7), ambazo nne (4) ni AC interfaces, mbili (2) ni USB A ports na moja (1) ni USB C port zenye 15.5 watts kila moja.

𝗟𝗘𝗡𝗚𝗧𝗛
Ina waya (power cord) wenye urefu wa mita mbili.

𝗣𝗥𝗢𝗧𝗘𝗖𝗧𝗜𝗢𝗡
Ni multi-protection extension cable, hivyo si rahisi kuungua na ni salama zaidi kwa matumizi ya vifaa vyako.

𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
Imetengenezwa kwa teknolojia ya AniFast ambayo ni smart-charging technology inayokusaidia kutumia vifaa vyako kwa usalama na nguvu (power) ya uhakika.

𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).

𝗠𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗢
𝟬𝟳𝟱𝟬 𝟬𝟵𝟯 𝟰𝟲𝟳 (watsap + calls)- SINZA MADUKANI
𝟬𝟳𝟱𝟴 𝟯𝟵𝟱 𝟯𝟱𝟱 (watsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
𝟬𝟳𝟲𝟯 𝟭𝟳𝟯 𝟮𝟳𝟬 (watsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
𝟬𝟳𝟰𝟴 𝟱𝟯𝟵 𝟯𝟮𝟴 (watsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.

𝗗𝗘𝗟𝗜𝗩𝗘𝗥𝗬
Delivery service inapatikana kwa mikoa yote.

Reviews

There are no reviews yet.

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

𝗼𝗿𝗮𝗶𝗺𝗼 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿𝗛𝘂𝗯 𝗖 𝟮𝗠 𝟰-𝗔𝗖 𝟯-𝗨𝗦𝗕 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗦𝘁𝗿𝗶𝗽

TZS35,000