Description
𝗼𝗿𝗮𝗶𝗺𝗼 𝗢𝗽𝗲𝗻𝗣𝗼𝗱𝘀
Earpods imara ambazo haziingii ndani ya sikio, na ni nyepesi hivyo ukizivaa unakuwa comfortable sana.
Ni earpods zenye bezi (bass) ya kutosha.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Zinatunza charge kwa jumla ya masaa 40.
𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 𝗥𝗘𝗦𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Ni IPX5 water and sweat proof, hivyo unaweza kuzitumia katika shughuli zako au michezo bila hofu ya jasho, vumbi au maji.
𝗘𝗡𝗩𝗜𝗥𝗢𝗡𝗠𝗘𝗡𝗧𝗔𝗟 𝗡𝗢𝗜𝗦𝗘 𝗖𝗔𝗡𝗖𝗘𝗟𝗟𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡
Hii itakusaidia, kuwasiliana na mtu vizuri sana kupitia earpods zako, hata kama upo sehemu yenye kelele.
𝗢𝗣𝗘𝗡 𝗔𝗡𝗗 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗜𝗡𝗦𝗧𝗔𝗡𝗧𝗟𝗬
Inaconnect na simu kwa uharaka sana na haikati kati, inakupa stable connectivity.
𝟰 -𝗠𝗜𝗖 𝗕𝗘𝗔𝗠 𝗙𝗢𝗥𝗠𝗜𝗡𝗚 𝗧𝗘𝗖𝗛𝗡𝗢𝗟𝗢𝗚𝗬
Inanasa sauti kutoka mdomoni unapoongea na mtu, kukufanya usikike vizuri sana.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).
𝗠𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗢
𝟬𝟳𝟱𝟬 𝟬𝟵𝟯 𝟰𝟲𝟳 (whatsap + calls)- SINZA MADUKANI
𝟬𝟳𝟲𝟯 𝟭𝟳𝟯 𝟮𝟳𝟬 (whatsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
𝟬𝟳𝟱𝟴 𝟯𝟵𝟱 𝟯𝟱𝟱 (whatsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
𝟬𝟳𝟰𝟴 𝟱𝟯𝟵 𝟯𝟮𝟴 (whatsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
𝗗𝗘𝗟𝗜𝗩𝗘𝗥𝗬 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘
Huduma ya delivery inapatikana kwa mikoa yote
There are no reviews yet.